Kichaga (Chagga) — Kamusi, Maneno & Nakupenda

Maneno ya kichaga na maana zake. Nakupenda = Nginkundi. Salamu, asante na tafsiri.

CodechgCountryTanzania

Kichagga is a language group spoken by the Chagga people of Tanzania.

Also Known As:

Chaga, Chagga, Kichaga

Keywords:

Bantu, Kichagga, Chaga, Chagga

Kamusi

Angalia matokeo ya utafutaji hapa chini, auTafsiri

Unasemaje "Mwili" kwa Kichagga?

swh Mwili
en body
Type: noun
Notes:
e.g. Kabla Maria nalandefo naleamba mwilii sima umbaya.
swh: Kabla maria ajafa alisema mwili mzima unamuuma.
en: body

Unasemaje "Kifaranga" kwa Kichagga?

Type: noun
Notes:
e.g. Uwishi lwendye erya kirana kyako inu .
swh: Mwewe alitaka kuchukua kifaranga wangu leo.
en: chick

Unasemaje "Ngozi" kwa Kichagga?

en skin
swh Ngozi
Type: noun
Notes:
e.g. Muna woko furumyi nakunje elya ngosi ya nguku kuliko nyama yawayo.
swh: Mtoto wangu wa mwisho anapenda kula ngozi ya kuku kuliko nyama yake.
en: skin

Unasemaje "Jumatatu" kwa Kichagga?

Type: noun
Notes:
e.g. Tangu kacha nisuyee siku ya jumatatu.
swh: Tangu zamani nachukia siku ya jumatatu.
en: Monday

Unasemaje "Ngamia" kwa Kichagga?

Type: noun
Notes:
e.g. Wandu wafye walyee nyama ya ngamya.
swh: Watu wengi hawali nyama ya ngamia
en: camel
Loading more words…

Did we miss a word?

Help us improve the Kichagga dictionary by adding it.

Click here to add a new word