Kichagga is a language group spoken by the Chagga people of Tanzania.

Also Known As:

Chaga, Chagga, Kichaga

Keywords:

Bantu, Kichagga, Chaga, Chagga

Dictionary

See the search results below, orTranslate

How do you say "Mwili" in Kichagga?

Mwilii
swh Mwili
en body
Type: noun
Notes:
e.g. Kabla Maria nalandefo naleamba mwilii sima umbaya.
swh: Kabla maria ajafa alisema mwili mzima unamuuma.
en: body

How do you say "Kifaranga" in Kichagga?

Kirana
Type: noun
Notes:
e.g. Uwishi lwendye erya kirana kyako inu .
swh: Mwewe alitaka kuchukua kifaranga wangu leo.
en: chick

How do you say "skin" in Kichagga?

Ngosi
en skin
swh Ngozi
Type: noun
Notes:
e.g. Muna woko furumyi nakunje elya ngosi ya nguku kuliko nyama yawayo.
swh: Mtoto wangu wa mwisho anapenda kula ngozi ya kuku kuliko nyama yake.
en: skin

How do you say "Jumatatu" in Kichagga?

Jumatatuu
Type: noun
Notes:
e.g. Tangu kacha nisuyee siku ya jumatatu.
swh: Tangu zamani nachukia siku ya jumatatu.
en: Monday

How do you say "Ngamia" in Kichagga?

Ngamya
Type: noun
Notes:
e.g. Wandu wafye walyee nyama ya ngamya.
swh: Watu wengi hawali nyama ya ngamia
en: camel

How do you say "bee" in Kichagga?

Chuki
en bee
swh Nyuki
Type: noun
Notes:
e.g. Jomba oko nawikye singa wo chuki nyuma ya mbaa ake.
swh: Mjomba wangu ameweka mzinga wa nyuki nyuma ya nyumba yake.
en: bee

How do you say "Jasho" in Kichagga?

Chichina
swh Jasho
en sweat
Type: noun
Notes:
e.g. Ngadicha kyomaana nga chichina mwili sima.
swh: Nimekimbia ndomaa jasho linanitoka mwili Mzima.
en: sweat

How do you say "mdomo" in Kichagga?

Kana
swh mdomo
en mouth
Type: noun
Notes:
e.g. Ngana chai ishaa ngasha kana.
swh: Nimekunywa chai ya moto nikaungua mdomo.
en: mouth

How do you say "Safari ant (siafu)" in Kichagga?

Mbefu
Type: noun
Notes:
e.g. Kodeya mbefu tikeda mbaa tichidima tikakuamada eli kulele.
swh: Ukiacha safari ant (siafu) waingie ndani wanaweza kukung’ata ukiwa umelala.
en: safari ant
Loading more words…

Did we miss a word?

Help us improve the Kichagga dictionary by adding it.

Click here to add a new word