Code: heh

Country: Tanzania

Kuhusu Lugha hii

Jifunze Kihehe kwa kamusi hii — lugha ya Kihehe (Hehe) inazungumzwa hasa katika mkoa wa Iringa. Pata tafsiri za Kiswahili hadi Kihehe na kinyume: salamu, maneno ya kila siku na sentensi.

Learn Kihehe with this free dictionary. Kihehe (Hehe) is spoken especially in Iringa region. Get Swahili–Kihehe translations for greetings, everyday words, and phrases.

Also Known As:

Hehe, Kihehe, Kosisamba, Sungwa, Dzungwa, Kojisamba, Kotsisamba, Tsungwa, Ehe, Ekiehe, KiHehe

Keywords:

Bantu, Kihehe, Hehe, hehe dictionary, kihehe to swahili, Kosisamba, Sungwa

Dictionary

How do you say "rash" in Kihehe?Unasemaje "Upele" kwa Kihehe?

Lupele
en rash
swh Upele
Type: noun
Notes:
e.g. Avanakwe mbevali vina lupele lya mwileme.
swh: Watoto wake wote wana upele tumboni.
en: rash
healthcontributor-seedvocabulary
Share
Added on 06/05/2026 · Page

How do you say "malaria" in Kihehe?Unasemaje "malaria" kwa Kihehe?

Malale
Type: noun
Notes:
e.g. Uwutamwa wa malale wawiwulaga avanu.
swh: Ugonjwa wa malaria una ua watu.
en: malaria
healthcontributor-seedvocabulary
Share
Added on 06/05/2026 · Page

How do you say "Brucellosis" in Kihehe?Unasemaje "Brucellosis" kwa Kihehe?

Wutamwa wa bulusela
Type: phrase
Notes:
e.g. Uwutamwa wa bulusela wakwikala munyama ya senga
swh: Ugonjwa wa brucellosis hukaa kwenye ng'ombe
en: brucellosis
healthcontributor-seedvocabulary
Share
Added on 06/05/2026 · Page

How do you say "Mafua" in Kihehe?Unasemaje "Mafua" kwa Kihehe?

Ng'ala ya lifuvaa
Type: phrase
Notes:
e.g. Umwesi gwa sita gwaiva na wutamwa wa ng'ala ya lifuvaa.
swh: Mwezi wa sita huwa kunakuwa na ugonjwa wa mafua.
en: flu / chest cold
healthcontributor-seedvocabulary
Share
Added on 06/05/2026 · Page

How do you say "UKIMWI" in Kihehe?Unasemaje "UKIMWI" kwa Kihehe?

Lugandaganda
Type: noun
Notes:
e.g. Ulugandaganda luwulige avayangu volofu.
swh: UKIMWI umeua wezangu wengi.
en: HIV/AIDS
healthcontributor-seedvocabulary
Share
Added on 06/05/2026 · Page

How do you say "Kaswende" in Kihehe?Unasemaje "Kaswende" kwa Kihehe?

Liswende
Type: noun
Notes:
e.g. Mbwambo atige tufwalage mipila sali setulapata liswende.
swh: Daktari kasema tuwe tunavaa mipira ili tusipatwe na kaswende.
en: syphilis
healthcontributor-seedvocabulary
Share
Added on 06/05/2026 · Page

How do you say "Kipindupindu" in Kihehe?Unasemaje "Kipindupindu" kwa Kihehe?

Matamwa gamwileme
Type: phrase
Notes:
e.g. Matamwa ga mwileme sigegala humila ukwetu konoo ndaa.
swh: Kipindupindu hakijawahi kutokea uku kwetu.
en: cholera
healthcontributor-seedvocabulary
Share
Added on 06/05/2026 · Page

How do you say "Kuharisha" in Kihehe?Unasemaje "Kuharisha" kwa Kihehe?

Kupwaka
Type: noun
Notes:
e.g. Umtamwa va lugandaganda aivanga kupwaka mbepali.
swh: Mgonjwa wa virusi vya ukimwi huwa anaanza kwa kuharisha mara kwa mara
en: diarrhea
healthcontributor-seedvocabulary
Share
Added on 06/05/2026 · Page

How do you say "mguu" in Kihehe?Unasemaje "mguu" kwa Kihehe?

Mguu
Type: noun
Notes:
e.g. Iukagulage ulunyakutigila izoka yigala ligulu na limwii.
swh: Inapaswa ujue kuwa nyoka hana mguu hata mmoja.
en: foot / leg
healthdaily-lifecontributor-seedvocabulary
Share
Added on 06/05/2026 · Page

How do you say "Kichaa cha mbwa" in Kihehe?Unasemaje "Kichaa cha mbwa" kwa Kihehe?

Lukwale lya mbwa
Type: phrase
Notes:
e.g. Paucha kuvaa na chanjo ya lukwale lya mbwa.
swh: Kesho kutwa kutakuwa na chanjo ya kichaa cha mbwa.
en: rabies
healthcontributor-seedvocabulary
Share
Added on 06/05/2026 · Page
Loading more words…

Did we miss a word?

Help us improve the Kihehe dictionary by adding it.

Click here to add a new word