Kimakonde — Kamusi & Maneno na Maana Zake

Kamusi ya Kimakonde — salamu, maneno na tafsiri ya Kiswahili

CodekdeCountryTanzania, Mozambique

Kuhusu Lugha hii

Lugha ya Kimakonde inazungumzwa na watu zaidi ya milioni moja na nusu hasa katika mikoa ya Lindi na Mtwara, kusini mwa Tanzania, na pia katika mikoa ya kaskazini mwa Msumbiji. Madhumuni ya kamusi hii ni kuwafikia wazungumzaji wa lugha hii na hivyo kutoa mchango katika kuikuza na kuihifadhi. Ni matumaini yetu kuwa mchango huu utatoa changamoto kwa Wamakonde kutaka kuiboresha kamusi hii na kuitumia kuwafunza vijana matumizi makini ya lugha yao. Pia tunatumaini kwamba wazungumzaji wa lugha nyingine nyingi za Tanzania ambazo hazina maandiko yoyote watahamasika na kuanza kazi ya kuziandika lugha hizi.

Kimakonde is spoken by more than one and a half million people, especially in Lindi and Mtwara in southern Tanzania and in northern Mozambique. This dictionary aims to reach speakers of the language and contribute to its promotion and preservation. We hope this work will inspire Makonde communities to improve the dictionary and use it to teach young people careful use of their language, and encourage speakers of other undocumented Tanzanian languages to begin writing theirs.

Also Known As:

Makonde, Chimakonde, Kimakonde, Chinimakonde, Konde, Matambe, Matambwe, Mekwengo, Maviha, Vadonde, Vamakonde, Vamwalu, Vamwambe, Chimaviha, Donde, Kimawiha, Mabiha, Mavia, Mawia, Mawiha, Mwalu, Mwambe, Ndonde, Cimakonde, Maconde, Makonda, Shimakonde, Cimabiha, Tambwe, Simakonde

Keywords:

Bantu, Makonde, Kimakonde, Chimakonde, Lindi, Mtwara, Rugemalira, kamusi ya kimakonde

Kamusi

Angalia matokeo ya utafutaji hapa chini, auTafsiri

Unasemaje "heshimiwa, ogopwa" kwa Makonde?

yopewa[kuyópe:wa]
Type: verb
Notes:
phonetic: kuyópe:wa
cf: yopa. Var: yopwa.

Unasemaje "tisha, heshimu" kwa Makonde?

yopya[kuyô:pya]
Type: verb
Notes:
phonetic: kuyô:pya
cf: opa.

Unasemaje "ota" kwa Makonde?

yota[kuyô:ta]
Type: verb
Notes:
phonetic: kuyô:ta
Yota liduva. Sunbathe. Ota jua. Prdm: yotela, yoteha, yoteja, yotanga.

Unasemaje "pumzika" kwa Makonde?

yowela[kuyówé:la]
Type: verb
Notes:
phonetic: kuyówé:la
Syn: pumulila. Var: yowelela, yowolela, yawalela.

Unasemaje "huyo huyo" kwa Makonde?

yoyo[yoyo]
Type: pronoun
Notes:
phonetic: yoyo
Var: uyoyo.

Unasemaje "kauka" kwa Makonde?

yuma[kuyû:ma]
en dry
swh kauka
Type: verb
Notes:
phonetic: kuyû:ma
Limbede liyumile. Dried skin. Ngozi kavu. Prdm: yumila, yumya, yumanga.

Unasemaje "yumba" kwa Makonde?

yumba[kuyumba]
swh yumba
en sway
Type: verb
Notes:
phonetic: kuyumba

Unasemaje "chechemea" kwa Makonde?

yumbaila[kuyúmbaila]
Type: verb
Notes:
phonetic: kuyúmbaila
Kuyumbaila nkaliwelele. You limp without any injury. Kuchechemea bila kujiumiza. Usage: kitendawili: unajifanya kuwa na matatizo makubwa kumbe ni jambo dogo tu -yumile yuwanila limekufika, kama vile kukanyaga mavi ya kuku. cf: humbaila. Var: yumbaila.

Unasemaje "mmoja" kwa Makonde?

yumo[yú:mo]
Type: noun
Notes:
phonetic: yú:mo
Munu yumo. One person. Mtu mmoja.

Unasemaje "kausha" kwa Makonde?

yumya[kuyumya]
en dry
swh kausha
Type: verb
Notes:
phonetic: kuyumya
Kuyumya pa moto. To dry over fire. Kukausha motoni. cf: yuma.
Loading more words…

Did we miss a word?

Help us improve the Makonde dictionary by adding it.

Click here to add a new word