Msemo / MethaliBawu bara si ari a siaUkikataa kuonywa, kitakachokukuta utakataa.
Bawu bara si ari a sia
- swh ukikataa kuonywa, kitakachokukuta utakataa
- en if you refuse warning, you will refuse what befalls you
phrase
proverb | theme: malezi, ushauri
swh: Ukikataa kuonywa, kitakachokukuta utakataa.
en: If you refuse warning, you will refuse what befalls you.
source: Shaaban & Mwangosi — Nafasi ya Misemo katika Jamii ya Wairaqw (§3.1.4)
Soma zaidi
Unamaanisha watu wanapaswa kukubali ushauri wanaopewa na watu wazima katika jamii yao. Ni sawa na methali 'Mkataa pema pabaya panamwita'. Wanajamii wanakumbushwa kufuata mambo yenye tija kwa manufaa ya familia na jamii zao.