Msemo / MethaliBuhhtar wawtamo ador o'rotlor dirangwHasira za mtawala ni kama ngurumo ya simba.A ruler's anger is like a lion's roar.

Buhhtar wawtamo ador o'rotlor dirangw

phrase

proverb | theme: uongozi, utawala
swh: Hasira za mtawala ni kama ngurumo ya simba.
en: A ruler's anger is like a lion's roar.
source: Shaaban & Mwangosi — Nafasi ya Misemo katika Jamii ya Wairaqw (§3.1.3)
Soma zaidi

Unasisitiza kuwa kiongozi anayechaguliwa anaweza kufanya jambo lolote kulingana na mamlaka aliyonayo, lakini lazima atende haki kwa vitendo kwani anachokisema kisikilizwe na kufanyiwa kazi. Msemo huu unasisitiza namna ya kuwaheshimu viongozi katika mambo yenye tija katika jamii.

proverbscultureleadershipcontributor-seedproverbshaaban-mwangosi
Share

WordPress Gutenberg embed

Paste the embed URL into an Embed block, or paste this iframe into a Custom HTML block. Full embed guide →