Msemo / MethaliSarhha tsuf a gaslay, qatso tsuf a gaslaykaUso unaotoa jasho hupata lakini miguu iliyokaa haipati chochote.The face that sweats gains; idle legs gain nothing.
swh: Uso unaotoa jasho hupata lakini miguu iliyokaa haipati chochote.
en: The face that sweats gains; idle legs gain nothing.
source: Shaaban & Mwangosi — Nafasi ya Misemo katika Jamii ya Wairaqw (§3.1.2)
Soma zaidi
Unasisitiza umuhimu wa uwajibikaji. Kukaa bila kujihangaisha hakuwezi kumpatia mtu chochote. Jamii inapaswa kufanya kazi kwa kuzingatia hali halisi ya mazingira yao ya kiuchumi na kijiografia, na isijiingize katika shughuli ambazo hazikubaliki.