Msemo / MethaliDelor buhare a tsarMuda wa masika ni mbili.The rainy season is short.
Delor buhare a tsar
phrase
proverb | theme: uwajibikaji, kilimo, misimu
swh: Muda wa masika ni mbili.
en: The rainy season is short.
source: Shaaban & Mwangosi — Nafasi ya Misemo katika Jamii ya Wairaqw (§3.1.2)
Soma zaidi
Ukichelewa kulima na kupanda mapema hautapata mavuno ya kutosha kwa wakati. Kushindwa kumudu mahitaji ya wakati, watoto watapata njaa hali waliowahi kulima watapata mazao ya kutosha. Jamii inashauriwa kuzingatia muda na kulima kwa kufuata kanuni za kilimo na ufugaji ili kuhakikisha wanafanya kazi kwa misimu husika.
proverbscultureagriculturecontributor-seedproverbshaaban-mwangosi