Msemo / MethaliYama imi ahembetoMaeneo ya watu yabebwe kwa pamoja.
Yama imi ahembeto
phrase
proverb | theme: upendo, amani, heshima
swh: Maeneo ya watu yabebwe kwa pamoja.
en: People's places should be borne together.
source: Shaaban & Mwangosi — Nafasi ya Misemo katika Jamii ya Wairaqw
Soma zaidi
Inamaanisha kuwa watu wasiharibu vitu vya watu na wala mtu asisemwe ubaya kwani yote hayo huharibu upendo na kusababisha hali ya uvunjifu wa amani katika jamii. Jambo la msingi ni kuwafahamu watu na tabia zao ili kuweza kuishi kwa upendo bila kufarakana.