Msemo / MethaliHhae iala'ne, ial lagwalieNdugu wapendane wawe pamoja na wazae pamoja.Siblings should love one another, stay together and bear children together.

Hhae iala'ne, ial lagwalie

phrase

proverb | theme: upendo, umoja, familia
swh: Ndugu wapendane wawe pamoja na wazae pamoja.
en: Siblings should love one another, stay together and bear children together.
source: Shaaban & Mwangosi — Nafasi ya Misemo katika Jamii ya Wairaqw
Soma zaidi

Msisitizo ni suala la upendo ili kujenga umoja na mshikamano katika jamii. Jamii ya Wairaqw inasisitiza ndugu na jamii nzima kupendana na kushirikiana ili kuondoa hali ya kuhitilafiana isiyo na tija kwa ustawi na uendelevu wa jamii.

proverbsculturefamilylovecontributor-seedproverbshaaban-mwangosi
Share

WordPress Gutenberg embed

Paste the embed URL into an Embed block, or paste this iframe into a Custom HTML block. Full embed guide →