Msemo / MethaliBara amoker ghumta lohi huekUkienda sehemu beba kibuyu cha njiani.When you go somewhere, carry a gourd for the journey.

Bara amoker ghumta lohi huek

phrase

proverb | theme: akiba, maandalizi
swh: Ukienda sehemu beba kibuyu cha njiani.
en: When you go somewhere, carry a gourd for the journey.
source: Shaaban & Mwangosi — Nafasi ya Misemo katika Jamii ya Wairaqw
Soma zaidi

Inasisitiza umuhimu wa kujiwekea akiba ili kuepuka fedheha kwa kuwa matatizo hayapigi hodi. Binadamu yeyote anatakiwa kujiandaa katika maisha yake kwani safari ni hatua moja baada ya nyingine. Maisha ni safari iliyojaa adha kadha wa kadha, ambazo haziepukiki.

Jamii haina budi kuweka akiba itakayomsaidia mtu anaposafiri ili waliobaki nyumbani waendelee kuishi vizuri. Jamii inapaswa kufanya kazi kwa bidii ili kuweka akiba itakayosaidia kumudu harakati za maisha ya kila siku katika jamii.

proverbscultureeconomycontributor-seedproverbshaaban-mwangosi
Share

WordPress Gutenberg embed

Paste the embed URL into an Embed block, or paste this iframe into a Custom HTML block. Full embed guide →