Msemo / MethaliKuro tsihay u gawta tsahhMwewe mwenye mimba utamtambua juu.The pregnant eagle will recognize it from above.
Kuro tsihay u gawta tsahh
phrase
proverb | theme: hekima, busara, lugha ya uficho
swh: Mwewe mwenye mimba utamtambua juu.
en: The pregnant eagle will recognize it from above.
source: Shaaban & Mwangosi — Nafasi ya Misemo katika Jamii ya Wairaqw
Soma zaidi
Inasisitiza kuwa baadhi ya maneno hayatamkwi hadharani bali hutumia lugha ya uficho ili kulinda staha za jamii inayohusika. Hali hiyo huisaidia jamii kutenda haki na kutumia busara katika kusuluhisha masuala fulani fulani katika jamii.
Jamii hiyo hutumia wazee na wanajamii kwa jumla ili kufanya suluhu katika jamii kwa busara ya hali ya juu bila ubaguzi wa aina yoyote.
proverbsculturelanguagecontributor-seedproverbshaaban-mwangosi