Msemo / MethaliGaw masomba gwaresi gwa ehatUwindaji wa vijana, tai huwafuata.When youths hunt, the eagle follows them.
Gaw masomba gwaresi gwa ehat
phrase
proverb | theme: malezi, hekima, busara
swh: Uwindaji wa vijana, tai huwafuata.
en: When youths hunt, the eagle follows them.
source: Shaaban & Mwangosi — Nafasi ya Misemo katika Jamii ya Wairaqw
Soma zaidi
Humaanisha kuwa vijana wana uwezo wa kufanya jambo lolote zuri au baya. Busara za wazazi huwapa fursa pana ya kufuatilia kile walichokiona kibaya na kuomba msamaha kwa yeyote aliyetendewa.
Jamii ya Wairaqw inaamini kuwa kutenda haki kunaepusha laana, visasi na mafarakano. Katika msemo huo, wazee wanafananishwa na tai kwa kuwa anaheshimiwa sana katika jamii hiyo. Wazazi hawana budi kuwaongoza vijana kwa ustawi na uendelevu wa jamii na kizazi chao.
proverbsculturefamilycontributor-seedproverbshaaban-mwangosi