How do you say "Nyumba ni sawa na ng'ombe mwenye mguu mbovu." in Kiiraqw?Unasemaje "Nyumba ni sawa na ng'ombe mwenye mguu mbovu." kwa Kiiraqw?

Do a sleer yae tlakw a tsegamis

phrase

proverb | theme: subira, busara, ndoa
swh: Nyumba ni sawa na ng'ombe mwenye mguu mbovu.
en: A house is like a cow with a lame leg.
source: Shaaban & Mwangosi — Nafasi ya Misemo katika Jamii ya Wairaqw
Soma zaidi

Inamaanisha umuhimu wa kuwa na subira katika jamii. Wazazi wanapaswa kuishi kwa subira kwani wanandoa wanapokutana na kuishi pamoja kila mmoja na tabia zake zinazoweza kusababisha kuhitilafiana. Uamuzi wa busara unatakiwa kabla ya kulifanyia kazi jambo lolote.

proverbsculturefamilycontributor-seedproverbshaaban-mwangosi
Share

WordPress Gutenberg embed

Paste the embed URL into an Embed block, or paste this iframe into a Custom HTML block. Full embed guide →