Msemo / MethaliDo a sleer yae tlakw a tsegamisNyumba ni sawa na ng'ombe mwenye mguu mbovu.
Do a sleer yae tlakw a tsegamis
phrase
proverb | theme: subira, busara, ndoa
swh: Nyumba ni sawa na ng'ombe mwenye mguu mbovu.
en: A house is like a cow with a lame leg.
source: Shaaban & Mwangosi — Nafasi ya Misemo katika Jamii ya Wairaqw
Soma zaidi
Inamaanisha umuhimu wa kuwa na subira katika jamii. Wazazi wanapaswa kuishi kwa subira kwani wanandoa wanapokutana na kuishi pamoja kila mmoja na tabia zake zinazoweza kusababisha kuhitilafiana. Uamuzi wa busara unatakiwa kabla ya kulifanyia kazi jambo lolote.