How do you say "Mwewe mwenye mimba utamtambua juu." in Kiiraqw?Unasemaje "Mwewe mwenye mimba utamtambua juu." kwa Kiiraqw?

Kuro tsihay u gawta tsahh

phrase

proverb | theme: hekima, busara, lugha ya uficho
swh: Mwewe mwenye mimba utamtambua juu.
en: The pregnant eagle will recognize it from above.
source: Shaaban & Mwangosi — Nafasi ya Misemo katika Jamii ya Wairaqw
Soma zaidi

Inasisitiza kuwa baadhi ya maneno hayatamkwi hadharani bali hutumia lugha ya uficho ili kulinda staha za jamii inayohusika. Hali hiyo huisaidia jamii kutenda haki na kutumia busara katika kusuluhisha masuala fulani fulani katika jamii.

Jamii hiyo hutumia wazee na wanajamii kwa jumla ili kufanya suluhu katika jamii kwa busara ya hali ya juu bila ubaguzi wa aina yoyote.

proverbsculturelanguagecontributor-seedproverbshaaban-mwangosi
Share

WordPress Gutenberg embed

Paste the embed URL into an Embed block, or paste this iframe into a Custom HTML block. Full embed guide →