How do you say "Muda wa masika ni mbili." in Kiiraqw?Unasemaje "Muda wa masika ni mbili." kwa Kiiraqw?

Delor buhare a tsar

phrase

proverb | theme: uwajibikaji, kilimo, misimu
swh: Muda wa masika ni mbili.
en: The rainy season is short.
source: Shaaban & Mwangosi — Nafasi ya Misemo katika Jamii ya Wairaqw (§3.1.2)
Soma zaidi

Ukichelewa kulima na kupanda mapema hautapata mavuno ya kutosha kwa wakati. Kushindwa kumudu mahitaji ya wakati, watoto watapata njaa hali waliowahi kulima watapata mazao ya kutosha. Jamii inashauriwa kuzingatia muda na kulima kwa kufuata kanuni za kilimo na ufugaji ili kuhakikisha wanafanya kazi kwa misimu husika.

proverbscultureagriculturecontributor-seedproverbshaaban-mwangosi
Share

WordPress Gutenberg embed

Paste the embed URL into an Embed block, or paste this iframe into a Custom HTML block. Full embed guide →