How do you say "Mimi ni mkali, vitu vyangu ni vya kulipa." in Kiiraqw?Unasemaje "Mimi ni mkali, vitu vyangu ni vya kulipa." kwa Kiiraqw?

Anu lach murue a buut

phrase

proverb | theme: uaminifu, haki, deni
swh: Mimi ni mkali, vitu vyangu ni vya kulipa.
en: I am fierce; my things must be paid for.
source: Shaaban & Mwangosi — Nafasi ya Misemo katika Jamii ya Wairaqw (§3.1.1)
Soma zaidi

Unasisitiza kuwa dawa ya deni ni kulipa. Jamii ya Wairaqw inasisitiza haki na usawa; watu huishi kwa maadili waliyorithishwa kutoka vizazi tangu kale. Jamii inakataza kudhulumu amana isiyo ya halali. Mtu akikopa amana ya mwingine ni sharti alipe kabla hajachukuliwa hatua kwa mujibu wa jamii.

proverbscultureintegritycontributor-seedproverbshaaban-mwangosi
Share

WordPress Gutenberg embed

Paste the embed URL into an Embed block, or paste this iframe into a Custom HTML block. Full embed guide →