Msemo / MethaliAnu lach murue a buutMimi ni mkali, vitu vyangu ni vya kulipa.
Anu lach murue a buut
phrase
proverb | theme: uaminifu, haki, deni
swh: Mimi ni mkali, vitu vyangu ni vya kulipa.
en: I am fierce; my things must be paid for.
source: Shaaban & Mwangosi — Nafasi ya Misemo katika Jamii ya Wairaqw (§3.1.1)
Soma zaidi
Unasisitiza kuwa dawa ya deni ni kulipa. Jamii ya Wairaqw inasisitiza haki na usawa; watu huishi kwa maadili waliyorithishwa kutoka vizazi tangu kale. Jamii inakataza kudhulumu amana isiyo ya halali. Mtu akikopa amana ya mwingine ni sharti alipe kabla hajachukuliwa hatua kwa mujibu wa jamii.