How do you say "Maeneo ya watu yabebwe kwa pamoja." in Kiiraqw?Unasemaje "Maeneo ya watu yabebwe kwa pamoja." kwa Kiiraqw?

Yama imi ahembeto

phrase

proverb | theme: upendo, amani, heshima
swh: Maeneo ya watu yabebwe kwa pamoja.
en: People's places should be borne together.
source: Shaaban & Mwangosi — Nafasi ya Misemo katika Jamii ya Wairaqw
Soma zaidi

Inamaanisha kuwa watu wasiharibu vitu vya watu na wala mtu asisemwe ubaya kwani yote hayo huharibu upendo na kusababisha hali ya uvunjifu wa amani katika jamii. Jambo la msingi ni kuwafahamu watu na tabia zao ili kuweza kuishi kwa upendo bila kufarakana.

proverbsculturecommunitycontributor-seedproverbshaaban-mwangosi
Share

WordPress Gutenberg embed

Paste the embed URL into an Embed block, or paste this iframe into a Custom HTML block. Full embed guide →