Kamusi ya kisukuma — Kisukuma to Swahili
Kamusi ya kisukuma — maneno ya kisukuma na maana zake kwa Kiswahili. Tafsiri bure kutoka Kisukuma hadi Kiswahili.
| Kisukuma | Swahili |
|---|---|
| aghabhina | Alicheza |
| Aghubhina | Atacheza |
| Aha gwashila okwigusha, oja kwigūlilo ogulya nyama | Baada ya mchezo, alienda sokoni kununua nyama |
| Ahimbala lyahashule | Uwanja wa shule |
| Aho toketīlanga mazoezi ga kwipasia mpira tofunga magori minge | Ambapo tulifanya mazoezi ya kupasiana mpira na kufunga mabao mengi |
| Aho tomala ukusalila unene nagashiga kwi kelezia | Tulipomaliza kusali mimi nilibaki kanisani |
| Ak'vambaga makono atabulagagwa | Aombaye msamaha hauawi. |
| akabhyaga | anahisi |
Full Kisukuma dictionary · Greetings & phrases · Sayings & proverbs