Proverb / SayingQaymo bara nii yaa'b inos kos gi yaa'bIf you send children to the farm alone, they will send each other away.
Qaymo bara nii yaa'b inos kos gi yaa'b
- swh ukiwatuma watoto shambani, nao watawatuma watoto wenzao
- en if you send children to the farm unsupervised, they will neglect the work
phrase
proverb | theme: uwajibikaji, malezi, kilimo
swh: Ukiwatuma watoto shambani, nao watawatuma watoto wenzao.
en: If you send children to the farm alone, they will send each other away.
source: Shaaban & Mwangosi — Nafasi ya Misemo katika Jamii ya Wairaqw (§3.1.2)
Soma zaidi
Una maana kuwa ukiwatuma watu wakafanye kazi bila kusimamiwa huzembea na kuharibika kinachofanyika. Wazazi wanapaswa kuwajibika na kusimamia shughuli yoyote ili kuepuka jambo lisiharibike. Wazazi wana jukumu la kuwafundisha kazi watoto wao na kuhakikisha wamefanya vizuri kwa kuwafuatilia na kuwarekebisha kimaadili.