Unasemaje "buhendeki" kwa Swahili?Neno litumikalo kama salamu (lenye maana sawa na pole kwa kazi na/au hongera kwa ufanisi) aambiwalo mtu aliyebeba mzigo mzito. e(wagira) bwetweki, bushutuzi, mahyo. -Wagira buhendekihay buhendeki