Msemo / MethaliBaba o xwayla bir kahh o haraaye ikahi?Baba wa kukuzaa kama hayupo, hata wa malezi hayupo?
Baba o xwayla bir kahh o haraaye ikahi?
- swh baba wa kukuzaa kama hayupo, hata wa malezi hayupo?
- en if the birth father is absent, is there even a parent for upbringing?
phrase
proverb | theme: malezi, jamii
swh: Baba wa kukuzaa kama hayupo, hata wa malezi hayupo?
en: If the birth father is absent, is there even a parent for upbringing?
source: Shaaban & Mwangosi — Nafasi ya Misemo katika Jamii ya Wairaqw (§3.1.4)
Soma zaidi
Unatoa picha kuwa malezi ya mtoto hayategemei kuwepo kwa wazazi wawili. Jamii nzima ina jukumu la kuhakikisha watoto wanalelewa na kujengwa katika misingi ya uzalendo, utamaduni na maadili ya jamii. Mtoto ni mali ya jamii nzima; jamii ya Wairaqw inashirikiana kuwalea watoto kwa mujibu wa utamaduni wao.