Inasisitiza kuwa kijana anaweza kupambana ili kuyabadili maisha yake mabaya kwa kufanya kazi kwa juhudi na maarifa kabla ya kuzeeka. Uzee humfanya binadamu kupoteza mambo mengi, hasa nguvu, maarifa na kumbukumbu. Jamii inatakiwa kusisitiza malezi ya familia yanayozingatia miiko na maadili ya jamii.