How do you say "kichaka kinasikia" in Kiiraqw?Unasemaje "kichaka kinasikia" kwa Kiiraqw?
Slaa iakhmis
phrase
proverb | theme: uaminifu, ukweli
swh: Kichaka kinasikia.
en: The bush hears.
source: Shaaban & Mwangosi — Nafasi ya Misemo katika Jamii ya Wairaqw (§3.1.1)
Soma zaidi
Unalenga kuishauri jamii kujenga uaminifu ili kuepuka migogoro isiyo na tija. Jamii inapaswa kusema ukweli ili kumweka kila mmoja huru. Hakuna siri ya watu wengi; kumsema, hasa kumsengenya mtu, kunaweza kusababisha kutoelewana. Uaminifu huwafanya watu kuishi huru na kutokuwa na wasiwasi.
proverbscultureintegritycontributor-seedproverbshaaban-mwangosi