Unasemaje "Unga uliosagwa ni rahisi kusonga ugali." kwa Kiiraqw?
Puru khoslaro ahhoer faa a'tlemis iloa tsuu
phrase
proverb | theme: malezi, vijana
swh: Unga uliosagwa ni rahisi kusonga ugali.
en: Well-ground flour is easy to stir into ugali.
source: Shaaban & Mwangosi — Nafasi ya Misemo katika Jamii ya Wairaqw (§3.1.4)
Soma zaidi
Unamaanisha jamii inapaswa kuwapa vijana malezi bora ili waweze kujitegemea katika jamii. Vijana waliolelewa vizuri huwa rahisi kuongoza na kuwa na msimamo thabiti kama ugali unaosongwa kwa unga uliosagwa vizuri.