How do you say "Ndege mwoga ana watoto wengi." in Kiiraqw?Unasemaje "Ndege mwoga ana watoto wengi." kwa Kiiraqw?

Tsir-ir-dayouso ka nii yari'

phrase

proverb | theme: uaminifu, uadilifu
swh: Ndege mwoga ana watoto wengi.
en: A timid bird has many chicks.
source: Shaaban & Mwangosi — Nafasi ya Misemo katika Jamii ya Wairaqw (§3.1.1)
Soma zaidi

Unaifunza jamii kuepuka mambo yanayoweza kuyagharimu maisha. Jamii ya Wairaqw inachukulia kuwa mtu mwoga si mwepesi kutenda kinyume na kaida zilizopo. Mtu mwaminifu mara nyingi hutekeleza jambo lililokubaliwa na jamii kwa kufuata mipaka ya makubaliano. Msemo huu huonesha umuhimu wa uaminifu kama nyenzo ya kuishi kwa amani na utulivu.

proverbscultureintegritycontributor-seedproverbshaaban-mwangosi
Share

WordPress Gutenberg embed

Paste the embed URL into an Embed block, or paste this iframe into a Custom HTML block. Full embed guide →