How do you say "Mguu wa mbu utupelee." in Kiiraqw?Unasemaje "Mguu wa mbu utupelee." kwa Kiiraqw?
Mangu tsui ti alen
phrase
proverb | theme: upendo, amani, usaidizi
swh: Mguu wa mbu utupelee.
en: The foot of a mosquito lifts us.
source: Shaaban & Mwangosi — Nafasi ya Misemo katika Jamii ya Wairaqw
Soma zaidi
Inamaanisha kuwa binadamu wanapaswa kupendana na kusaidiana katika hali ya raha na tabu. Kwa mfano, jirani akitembelewa anakula hata kama ni kidogo.
Msemo huo una maana kuwa licha ya kuwa kilichopo ni kidogo, lazima wagawane kama sehemu ya kusaidiana.
proverbsculturecommunitycontributor-seedproverbshaaban-mwangosi