How do you say "Mdudu wa mahindi atafika tu kwake." in Kiiraqw?Unasemaje "Mdudu wa mahindi atafika tu kwake." kwa Kiiraqw?

Nanagi doos gu ghoer

phrase

proverb | theme: subira, uvumilivu
swh: Mdudu wa mahindi atafika tu kwake.
en: The maize pest will only reach him.
source: Shaaban & Mwangosi — Nafasi ya Misemo katika Jamii ya Wairaqw
Soma zaidi

Mdudu huyo hutembea polepole, lakini atafika tu anakokwenda. Jambo lolote hata kama lina ugumu kupita kiasi, ipo siku litafanikiwa, hasa kama litawekewa misingi imara inayoonesha namna bora ya kulitekeleza kwa nadharia na vitendo (Darco, 2006). Kwa hakika, 'Mwenda pole hajikwai', na 'Mvumilivu hula mbivu'.

proverbscultureagriculturecontributor-seedproverbshaaban-mwangosi
Share

WordPress Gutenberg embed

Paste the embed URL into an Embed block, or paste this iframe into a Custom HTML block. Full embed guide →