How do you say "Maziwa ya ng'ombe wa kuazima hayanywewi kwa kukaa." in Kiiraqw?Unasemaje "Maziwa ya ng'ombe wa kuazima hayanywewi kwa kukaa." kwa Kiiraqw?

Ilwar sleer ghasarmo ki iwitananang'w wa wahahanka

phrase

proverb | theme: uwajibikaji, kujitegemea
swh: Maziwa ya ng'ombe wa kuazima hayanywewi kwa kukaa.
en: Borrowed cow's milk is not drunk while sitting idle.
source: Shaaban & Mwangosi — Nafasi ya Misemo katika Jamii ya Wairaqw (§3.1.2)
Soma zaidi

Cha kuazima hakina manufaa ya kudumu. Jamii haina budi kufanya kazi kwa bidii ili kujenga uwezo wa kumiliki mali yake. Kitu cha kuazima kitachukuliwa pindi mwenye nacho atakapokihitaji. Ni sawa na nguo ya kuazima haisitiri matako. Uvivu ni utumwa unaoondoa uwezo wa kujiamini.

proverbscultureeconomycontributor-seedproverbshaaban-mwangosi
Share

WordPress Gutenberg embed

Paste the embed URL into an Embed block, or paste this iframe into a Custom HTML block. Full embed guide →