How do you say "Asubuhi ni kiraka." in Kiiraqw?Unasemaje "Asubuhi ni kiraka." kwa Kiiraqw?
Matle a tlaghandi
phrase
proverb | theme: uwajibikaji, kazi
swh: Asubuhi ni kiraka.
en: Morning is a sieve (time is short).
source: Shaaban & Mwangosi — Nafasi ya Misemo katika Jamii ya Wairaqw (§3.1.2)
Soma zaidi
Unamaanisha shughuli yeyote ya msingi ni vizuri ifanyike asubuhi ili kuifanya kwa ufanisi. Mchana kuna hali ya kuchoka kutokana na jua kali. Ni vizuri kuwajibika asubuhi ili kuendelea kumudu changamoto zinazoweza kutokea baadaye. Unafanana na 'Asubuhi kazi, jioni mahesabu'.
proverbscultureresponsibilitycontributor-seedproverbshaaban-mwangosi