How do you say "Hasira za mtawala ni kama ngurumo ya simba." in Kiiraqw?
Buhhtar wawtamo ador o'rotlor dirangw
phrase
proverb | theme: uongozi, utawala
swh: Hasira za mtawala ni kama ngurumo ya simba.
en: A ruler's anger is like a lion's roar.
source: Shaaban & Mwangosi — Nafasi ya Misemo katika Jamii ya Wairaqw (§3.1.3)
Soma zaidi
Unasisitiza kuwa kiongozi anayechaguliwa anaweza kufanya jambo lolote kulingana na mamlaka aliyonayo, lakini lazima atende haki kwa vitendo kwani anachokisema kisikilizwe na kufanyiwa kazi. Msemo huu unasisitiza namna ya kuwaheshimu viongozi katika mambo yenye tija katika jamii.