How do you say "Nyumba za wapenda kesi wengi zinapotea." in Kiiraqw?Unasemaje "Nyumba za wapenda kesi wengi zinapotea." kwa Kiiraqw?

Mara kwaslemuser yari naqwariye

phrase

proverb | theme: uaminifu, amani
swh: Nyumba za wapenda kesi wengi zinapotea.
en: Houses of those who love disputes perish.
source: Shaaban & Mwangosi — Nafasi ya Misemo katika Jamii ya Wairaqw (§3.1.1)
Soma zaidi

Unatoa dhamira kuwa jamii na watu waliozoea kesi muda wowote maisha yao yanaweza kuharibika kutokana na kutokuwa na uaminifu na kuingilia mambo yasiyowahusu. Mtu aliyezoea kuhalalisha ubatili mwisho wake maisha yake huharibika pamoja na familia kukosa mwelekeo. Jamii haina budi kutenda haki ili kuepusha laana, lawama, chuki, visasi na mafarakano.

proverbscultureintegritycontributor-seedproverbshaaban-mwangosi
Share

WordPress Gutenberg embed

Paste the embed URL into an Embed block, or paste this iframe into a Custom HTML block. Full embed guide →