How do you say "Nyumba za wapenda kesi wengi zinapotea." in Kiiraqw?
Mara kwaslemuser yari naqwariye
phrase
proverb | theme: uaminifu, amani
swh: Nyumba za wapenda kesi wengi zinapotea.
en: Houses of those who love disputes perish.
source: Shaaban & Mwangosi — Nafasi ya Misemo katika Jamii ya Wairaqw (§3.1.1)
Soma zaidi
Unatoa dhamira kuwa jamii na watu waliozoea kesi muda wowote maisha yao yanaweza kuharibika kutokana na kutokuwa na uaminifu na kuingilia mambo yasiyowahusu. Mtu aliyezoea kuhalalisha ubatili mwisho wake maisha yake huharibika pamoja na familia kukosa mwelekeo. Jamii haina budi kutenda haki ili kuepusha laana, lawama, chuki, visasi na mafarakano.