Nakupenda kwa Kihaya (Haya) translation: Nkwenda (I love you). Salamu za Kihaya na maneno zaidi hapa chini.
| Ruhaya | Kiswahili | English |
|---|---|---|
| Aga ombigolo | habari za jioni | Good evening |
| Agandi? | Unaendeleaje? | How are you? |
| Agaraileyo | Nzuri | I am fine |
| Agasibayo | habari za mchana | Good afternoon |
| Agasibayo? | Unaendeleaje? | How are you? |
| Agolaileyo | habari za asubuhi | Good morning |
| Babaolailota | Habari za asubuhi | Good morning |
| buheesi 2 | 1) Uhunzi. (buhê:si] 2) ki. Neno litumikalo kama salamu (lenye maana sawa na pole kwa kazi na/au hongera kwa ufanisi) aambiwalo mhunzi akiwa kazini | — |
| buhendeki | Neno litumikalo kama salamu (lenye maana sawa na pole kwa kazi na/au hongera kwa ufanisi) aambiwalo mtu aliyebeba mzigo mzito. e(wagira) bwetweki, bushutuzi, mahyo. -Wagira buhendeki | — |
| bujungi | f Hali ya kuandaa au kutengeneza pombe (hasa ya kienyeji); utengenezaji wa pombe. Oijunga, mijungire. 2) Ujira, posho au zawadi kwa ajili ya kazi ya kuandaa pombe. Empeerwa. [bujungi] 3) ki. Neno litumikalo kama salamu (lenye maana sawa na pole kwa kazi na/au hongera kwa ufanisi) aambiwalo mtu anayetengeneza pombe. Wagira bujungi | — |
| bulimi | ) Ukulima; ulimaji. 2) Posho au zawadi apewayo mtu aliyelima. Osiimi, mpeerwa, rongooro. [bulimi] 3) ki. Neno litumikalo kama salamu (lenye maana sawa na pole kwa kazi na/au hongera kwa ufanisi) aambiwalo mtu anayelima. ~Wagira bulimi | — |
| bushuki | Usukaji. eishuka, mishukire, nshuka. [bujuki] 2) k. Neno litumikalo kama salamu (lenye maana sawa na pole kwa kazi na/au hongera kwa ufanisi) aambiwalo mtu anayesuka. Gmahyo. -Wagira bushuki | — |
| businge | Salamu ya kuaga kwa heshima inayotolewa na mtu anayeondoka; kwaheri. Hutolewa zaidi ukweni, hekaluni, n.k. empaaho, mwikalege, bukya. =masinge | — |
| Iwe mlungi | wewe ni mzuri | You are beautiful |
| Iwe wange | wewe ni wangu | You are mine |
| Mae olailota | Habari za asubuhi | Good morning |
| Malailota | Habari za asubuhi | Good morning |
| Mama olailota | Habari za asubuhi | Good morning |
| Masibota | Habari za mchana | Good afternoon |
| Mkazi wange omgonzibwa | — | I love you my wife |
| mpao omgonzibwa wange | usiku mwema | Goodbye my love |
| Msheija wange omgonzibwa | — | I love you my husband |
| Murembe | Habari | Hello |
| Naguma | Niko salama | I am fine |
| Nakubulwa omgonzibwa wange | — | I miss you so much, darling |
| Nashemelelwa kutekina neiwe | nimefurahi kukutana nawe | Nice to meet you |
| Ndakubona | — | I will marry you |
| Ndige | Niko salama | I am fine |
| Ningendelelagi | — | I am doing great |
| Ninyenda | — | I need your love |
| Nkubulwao | ninakukumbuka | I miss you |
| Nkwenda | nakupenda | I love you |
| Nkwenda hushagao | ninakupenda kwa moyo wote | I love you with all my heart |
| Nkwenda mnoo | nakupenda sana | Love you so much |
| Nkwenda nanye | nakupenda pia | I love you too |
| Nkwetaga | ninataka kukuona | I want to see you |
| Nogendelela ote mbwenu? | — | How are you today? |
| Nogendelela ote? | Unaendeleaje? | How are you? |
| Nyegera | Karibu | Welcome |
| O'alega omgonzibwa wange | usiku mwema | Good night my love |
| Olailota | Nzuri | Good morning (reply) |
| Olailota oboineki | Nzuri sana | Good morning (reply) |
| Olubaju lwa moyo wange | — | The rib of my heart |
| Omgonzibwa wange | mpenzi wangu | My love |
| Ompe omda | — | I want some space |
| Orige? | Unaendeleaje? | How are you? |
| Osibege | siku njema | Have a good day |
| Talailota | Habari za asubuhi | Good morning |
| Tasibota | Habari za mchana | Good afternoon |
| Tata olailota | Habari za asubuhi | Good morning |
| Tinabonakantu | Nzuri | I am fine |
| Tubonangane hila | tutaonana baadaye | See you later |
| Tubonangane kale | — | See you soon |
| Tulabonangano nyekya | tutaonana kesho | See you tomorrow |
| Twasibao | Tuko salama | We are fine |
| Wabonaki | Habari | Hello / How are you? |
| Waguma | Habari | Hi/Hello |
| Waguma? | Unaendeleaje? | How are you? |
| Wasibamwota? | — | How was your day? |
| Wasibota | Nzuri | Good afternoon (reply) |
| Ruhaya | Kiswahili | English |
|---|---|---|
| Bugabo | Jina la mojawapo ya temi za kale za Wahaya, ambayo kwa sasa inaunda Tamfa ya Bugabo | — |
| Bugandika | Jina la kijiji kilichopo Kiziba | — |
| Bugango | Jina la kijiji kilichopo Missenyi | — |
| Buganguzi | Jina la kijüji kilichopo Ihangiro | — |
| Bugarama | Jina la kijiji kilichopo Thangiro. bugarame lo bugaråme) n. tazama ngarame | — |
| Bugasha | Jina la kijiji kilichopo Thangiro | — |
| Bugashani | Jina la kijii kilchopo Kihanja. 2 Jina la kijji kılichopo Kyamutwara | — |
| Bugengere | Jina la kijji kilichopo Kihanja | — |
| Bugeye | Jina la kijjji kilichopo Thangiro | — |
| Bugombe | Jina la kijiji kilichopo Kiziba | — |
| Bugombe 2 | Jina la kijiji kilichopo hangiro | — |
| Bugonzi | Jina la mto uliopo Kihanja. bugooke lobugo:ke) n. Aibu; kuumbuka; kashfa | — |
| Bugorora | Jina la kijiji kilichopo Missenyi | — |
| Buguju | Jina la kijiji kilichopo Thangiro | — |
| Bugungu | Jina la kijiji kilichopo Thangiro | — |
| Buhanga | Jina la kjji kilichopo Thangiro | — |
| Buhangaruti | Jina la kijüi kilichopo Kiziba | — |
| Buhangaza | Jina la kijji kilichopo lhangiro | — |
| Buheesi | Jina la kijij kilichopo Kihanja | — |
| Buhekera | Jina la kijüji kilichopo Kiziba | — |
| Buhembe | Jina la kıjiji kilichopo Kyamutwara. Mugani: Ekitema Busimbe tikitema Buhembe? | — |
| Buhimba | Jina la kijiji kilichopo Thangiro | — |
| Buhuma | Jina la kijüji kilichopo | — |
| Buhunga | Jina la kijji kidogo kilichopo Karibu na Kabaalc, Kyamutwara | — |
| Buhuuru | Jina la kijüji kilichopo Kihanja | — |
| Bujugo | Jina la kijiji kilichopo Kihanja. ~ Bujugo bwa Ntanda | — |
| Bujumba | Jina la enco lililopo | bujuumaro lobujü:maro) n. Mahali pa kuangukia, hasa kifudifudi au juu chini | — |
| Bujumbi | Jina la kijiji kilichopo | — |
| Bujunabi | Jina la kijiji kilichopo Thangiro | — |
| Bujunangoma | Jina la eneo lililopo Kihanja | — |
| Bukabuye | Jina la kijji kilichopo majonzi. Kiziba. bukaibangane labukáibangane, abukéibargane] n. Hali ya kuonena wivu, hasa miongoni mwa wake wenza. eikaiba. -bukeibangane. bukaikuliro lo bukáikuliro, abukéikuliro] n. Fursa au mahali pa kuzeekea au kuwa kikongwe (wanawake). =bukeikuliro | — |
| Bukanu | Jina la kijji kilichopo Bugabo | — |
| Bukaranga | Jina la kijüji kilichopo Bugabo | — |
| Bukombe | Jina la kijiji kilichopo Ihangiro | — |
| Bukomo | Jina la kijiji kilichopo Inanguro | — |
| Bukongo | Jina la kijiji kilichopo Kihanja | — |
| Bukono | Jina la kijüji kilichopo Thangiro | — |
| Bukoro | Jina la kijji kilichopo Thangiro | — |
| Bukwali | Jina la kijiji kilichopo Kiziba | — |
| Buleza | Jina la kijüj kilichopo lhangiro | — |
| Bulifaani | Jina la kijiji kilichopo Missenyi | — |
| Buligana | Jina la kijiji kilichopo | — |
| Buliigi | Jina la kijiji kilichopo Thangiro | — |
| Bulili | Jina la kijüj kilichopo Kihanja | — |
| Bulinda | Jina la kijji kilichopo Bukara. bulingiti labulingit] n. Blanketi. =kilingiti, buranketi | — |
| Bulira | Jina la kijüji kilichopo Kihanja, karibu na Kemondo | — |
| Bumai | Jina la kijiji kilichopo Bugabo. =Buma | — |
| Bundaza | Jina la kijiji kilichopo Kihanja | — |
| Bunumba | Jina la kijiji kilichopo Kihanja | — |
| Bunyaga | Jina la kijjji kilichopo Bugabo. bunian. bupag, vane, biea ta, uyeas. bworo | — |
| Bunyagongo | Jina la kijiji kilichopo lhangiro | — |
| Bunyoonya | Jina la kijji kilichopo Bugabo. bunyugwizi [abunugwi:z]) n. Hali ya mtu kuhisi kama vile anatekenywa | — |
| Bunywambere | Jina la kijiji n. kilichopo Kihanja | — |
| Buramura | Jina la kijiji kilichopo Kihanja | — |
| Burungiitaka | Jina la kijji kilichopo Kihanja | — |
| Burunguura | Jina la kijiji kilichopo Thangiro. bururu lo burüru]n. 0(rangi ya) samawati. 2)Rangi ya bluu iwekwayo kwenye nguo nyeupe baada ya kuzifua | — |
| Buseenya | Jina la kijiji kilichopo Thangiro | — |
| Bushaju | Jina la kijüji kilichopo Kihanja | — |
| Bushaka | Jina la kijiji kilichopo Kihanja | — |
| Busheeruka | Jina la kijiji kilichopo Ihangiro | — |
| Bushumba | Jina la kijüji kilichopo Kihanja | — |
| Busindi | Jina la kijiji kilichopo hangiro | — |
| Butaahanju | Jina la kitongoji cha kijiji kilichopo Itaahwa, Kyamutwara | — |
| Butainamwa | Jina la kijüji kilichopo Kihanja | — |
| Butairuka | Jina la kijiji kilichopo Bukara | — |
| Butalike | Jina la kijji kilichopo lhangiro | — |
| Butalima | Jina la kijji kilichopo lhangiro | — |
| Butalindwa | Jina la kijji kilichopo Kihanja | — |
| Bute | Jina la kijji kilichopo Kihanja | — |
| Buteerankuzi | Jina la kijiji kilichopo lhangiro | — |
| Butuube | Jina la kijji kilichopo Bugabo | — |
| Buyaga | Jina la kijiji kilichopo Thangiro | — |
| Buyanzi | Jina la kijüji kilichopo Thangiro. n. Usumbufu; ukorofi. buyebe [abuyebe) emwaga, muya, muturajuju | — |
| buzinduko | Jina la mtaa uliopo Bukoba Mjini | — |
| Bwami | Jina la kijiji kilichopo Thangiro | — |
| Bwanjai | Jina la kijiji kilichopo Kiziba | — |
| Bwanshoni | Jina la kijiji kilichopo Kihanja. banyeigoro [dowaneigoro) inayoonyesha) wakati ulopita karibuni. Nyeigoro tuliireki? | — |
| Bwazi | Jina la kijjji kilichopo Kihanja | — |
| Bwehigiro | Jina la kijji kilichopo Kihanja | — |
| Bwemera | Jina la kitongoji cha kijüji kilichopo Kiziba. bwemerero lobwé:merero, o bwé:me:rero] n. Mahali pa kusimama au kutua; kituo | — |
| Bwera | Jina la kijüji kilichopo Kiziba | — |
| Bweyenza | Jina la kijji kilichopo Thangiro | — |
| Bweyunge | Jina la kijji kilichopo Kiziba | — |
| Bweza | Jina la kijji kilichopo Bugabo | — |
| Bwigura | Jina la kijj kilichopo Kihanja | — |
| Bwira | Jina la kijiji kilichopo Thangiro | — |
| Bwizanduuru | Jina la kijüji kilichopo Bukara. bwizi lobwizi]n. Hali ya kuja | — |
| Bwogi | Jina la mungu wa jadi | — |
| Bwoki | Jina la kijüji kilichopo Kiziba | — |
| Bwongeze | Jina la kijiji kilichopo Kihanja | — |
| Byamutemba | Jina la kijiji kilichopo Missenyi. yange loyange, eoyange] kb. v yang | — |
| Byeju | Jina la kijüji kilichopo Missenyi | — |
| Byendimi | Jina la kijüji kilichopo Kyamutwara. byensheko (ebyénjeko) Jambo la kuchekesha; kichekesho; jambo la aibu | — |
| Byenzige | Jina la nyika iliyopo K yamutwara. byera lebyéra] n. Furaha. emashemererwa, nsheko | — |
| Byonga | Jina la kijüi kilichopo byononoko Bugabo | — |
| Chuleera 2 | Jina la Mwaka 2010, Ienye maana ya 'kuwa na amani/utulivu. chuleera [čuléra] w isiza | — |
| Ruhaya | Kiswahili | English |
|---|---|---|
| Abawe mbagendelela bata? | habari za familia? | How is your family? |
| Amaela ganga? | bei gani? | How much? |
| Bojo onjune | — | Please help me |
| Ehali yigulu ilyele? | — | How is the weather over there? |
| ehari yawe? | — | How is everything? |
| Ehi nsi yajje Bahaya | Hii nchi imejaa Wahaya / Hii nchi imejaa wahaya | This country is full of Haya people |
| Ekilo kyawe kibile kita? | — | How was your day? |
| Engonzi nizilungi | — | Love is a beautiful thing |
| Enilo kyawe kibile kita? | — | How was your night? |
| Hija aaha | njoo hapa | Come here |
| Ibala lyawe oliowa? | jina lako nani? | What is your name? |
| Iwe doi? | — | Who are you? |
| Nalemwa mno | — | I am very tired |
| Nalila | — | She/he is crying |
| Nalima | — | She/he is digging |
| Namala | — | I am done |
| Nanyetyo | — | Me too |
| Nashemelelwa kukubona dindi | — | Great to see you again |
| Naulila? | — | Are you listening? |
| Neikeliza | — | I have agreed |
| Ngobilege | — | I reached home safely |
| Nikiwe ekili kugendelela? | — | What's going on? |
| Nimbasa kubaza? | — | Can I ask you something? |
| Nimbasa kugya omka? | — | Can I go home? |
| Nindya | — | I am eating |
| Ninsima mno | — | I really appreciate it |
| Ninyija mbwenu aaha | — | I am coming soon |
| Ninyija nyekya | — | I will come tomorrow |
| Ninyoga | — | I am bathing |
| Ninzana | — | I am playing |
| Nogambaote? | — | What are you saying? |
| Nogendelela ota? | — | How are you doing? |
| Nogya nkaa? | unaenda wapi? | Where are you going? |
| Noija maki? | — | When are you coming? |
| Noikala nkaa? | unaishi wapi? | Where do you live? |
| Nokola nkaa emilimo ? | — | What is your phone number? |
| Nolya/ nochumbaki? | — | What are you cooking/eating? |
| Nonyegezibwa | — | You are welcome |
| Notekeleza ota? | — | How are you feeling? |
| Nshwilwe | — | I am married |
| Nyinayo | — | I have it |
| Obelwe | — | Be blessed |
| Oehile ekiki? | — | What are you carrying? |
| Okagendankahi? | — | Where did you go? |
| Oleke kutumia esimu | — | Stop using your phone |
| Oleke ndenge | — | Let me try |
| Olige omgonzibwa? | — | Are you okay dear? |
| Olinkahi? | — | Where are you? |
| Omkama akubele | — | God bless you |
| Omkama akulinde | — | May God protect you |
| Omkama mlungi | mungu ni mwema | God is good |
| Omwenendo gubi | — | Bad manners |
| Ondeke | — | Leave me alone |
| Onganyile | pole | I am sorry |
| Onyame nemilembe | — | Rest in peace |
| Onyegela omka | — | Welcome home |
| Oyeulile omka | — | Feel at home |
| Timanya | — | I don't know |
| Tinkwenda | — | I don't want |
| Tinkwiamu | — | I don't understand |
| Tinyine maela | — | I don't have money |
| Tugende omka | — | Let us go home |
| Twashemelelwa kukubona | — | We are happy to see you |
| Waba olinkaa? | — | Where were you? |
| Wabaki? | — | What is this? |
| Wabaute? | — | How have you been? |
| Waga kwegashaniza? | — | Have you gone to church? |
| Wakelelelwa | — | You are late |
| Wakola | asante | Thank you |
| Wakola ekilo kyange | — | You made my day |
| Walile? | — | Have you eaten? |
| Waulila? | — | Have you heard? |
| Weine emyaka engaa? | — | How old are you? |
| Weiuka nekuzalwa | — | Happy birthday |
| Weuka nomwaka | — | Happy new year |
| Wokolaki? | unafanya nini? | What are you doing? |
| Yashemelelwa | — | She is happy |
Kamusi ya Ruhaya — Nukta Kamusi. Community-contributed phrases for language preservation.