Kamusi ya Ruhaya PDF

Free download — kamusi ya Ruhaya (v1.0-alpha). ALPHA TESTING: words and phrases may be incorrect — verify at kamusi.nukta.co.tz.

Full dictionary Nakupenda kwa Ruhaya Salamu za Ruhaya Love & greeting cards Nukta Kamusi home

Salamu, Nakupenda & Maneno

Ruhaya Kiswahili English
Aga ombigolo habari za jioni Good evening
Agandi? Unaendeleaje? How are you?
Agaraileyo Nzuri I am fine
Agasibayo habari za mchana Good afternoon
Agasibayo? Unaendeleaje? How are you?
Agolaileyo habari za asubuhi Good morning
Babaolailota Habari za asubuhi Good morning
buheesi 2 1) Uhunzi. (buhê:si] 2) ki. Neno litumikalo kama salamu (lenye maana sawa na pole kwa kazi na/au hongera kwa ufanisi) aambiwalo mhunzi akiwa kazini —
buhendeki Neno litumikalo kama salamu (lenye maana sawa na pole kwa kazi na/au hongera kwa ufanisi) aambiwalo mtu aliyebeba mzigo mzito. e(wagira) bwetweki, bushutuzi, mahyo. -Wagira buhendeki —
bujungi f Hali ya kuandaa au kutengeneza pombe (hasa ya kienyeji); utengenezaji wa pombe. Oijunga, mijungire. 2) Ujira, posho au zawadi kwa ajili ya kazi ya kuandaa pombe. Empeerwa. [bujungi] 3) ki. Neno litumikalo kama salamu (lenye maana sawa na pole kwa kazi na/au hongera kwa ufanisi) aambiwalo mtu anayetengeneza pombe. Wagira bujungi —
bulimi ) Ukulima; ulimaji. 2) Posho au zawadi apewayo mtu aliyelima. Osiimi, mpeerwa, rongooro. [bulimi] 3) ki. Neno litumikalo kama salamu (lenye maana sawa na pole kwa kazi na/au hongera kwa ufanisi) aambiwalo mtu anayelima. ~Wagira bulimi —
bushuki Usukaji. eishuka, mishukire, nshuka. [bujuki] 2) k. Neno litumikalo kama salamu (lenye maana sawa na pole kwa kazi na/au hongera kwa ufanisi) aambiwalo mtu anayesuka. Gmahyo. -Wagira bushuki —
businge Salamu ya kuaga kwa heshima inayotolewa na mtu anayeondoka; kwaheri. Hutolewa zaidi ukweni, hekaluni, n.k. empaaho, mwikalege, bukya. =masinge —
Iwe mlungi wewe ni mzuri You are beautiful
Iwe wange wewe ni wangu You are mine
Mae olailota Habari za asubuhi Good morning
Malailota Habari za asubuhi Good morning
Mama olailota Habari za asubuhi Good morning
Masibota Habari za mchana Good afternoon
Mkazi wange omgonzibwa — I love you my wife
mpao omgonzibwa wange usiku mwema Goodbye my love
Msheija wange omgonzibwa — I love you my husband
Murembe Habari Hello
Naguma Niko salama I am fine
Nakubulwa omgonzibwa wange — I miss you so much, darling
Nashemelelwa kutekina neiwe nimefurahi kukutana nawe Nice to meet you
Ndakubona — I will marry you
Ndige Niko salama I am fine
Ningendelelagi — I am doing great
Ninyenda — I need your love
Nkubulwao ninakukumbuka I miss you
Nkwenda nakupenda I love you
Nkwenda hushagao ninakupenda kwa moyo wote I love you with all my heart
Nkwenda mnoo nakupenda sana Love you so much
Nkwenda nanye nakupenda pia I love you too
Nkwetaga ninataka kukuona I want to see you
Nogendelela ote mbwenu? — How are you today?
Nogendelela ote? Unaendeleaje? How are you?
Nyegera Karibu Welcome
O'alega omgonzibwa wange usiku mwema Good night my love
Olailota Nzuri Good morning (reply)
Olailota oboineki Nzuri sana Good morning (reply)
Olubaju lwa moyo wange — The rib of my heart
Omgonzibwa wange mpenzi wangu My love
Ompe omda — I want some space
Orige? Unaendeleaje? How are you?
Osibege siku njema Have a good day
Talailota Habari za asubuhi Good morning
Tasibota Habari za mchana Good afternoon
Tata olailota Habari za asubuhi Good morning
Tinabonakantu Nzuri I am fine
Tubonangane hila tutaonana baadaye See you later
Tubonangane kale — See you soon
Tulabonangano nyekya tutaonana kesho See you tomorrow
Twasibao Tuko salama We are fine
Wabonaki Habari Hello / How are you?
Waguma Habari Hi/Hello
Waguma? Unaendeleaje? How are you?
Wasibamwota? — How was your day?
Wasibota Nzuri Good afternoon (reply)

Majina (Names)

Ruhaya Kiswahili English
Bugabo Jina la mojawapo ya temi za kale za Wahaya, ambayo kwa sasa inaunda Tamfa ya Bugabo —
Bugandika Jina la kijiji kilichopo Kiziba —
Bugango Jina la kijiji kilichopo Missenyi —
Buganguzi Jina la kijüji kilichopo Ihangiro —
Bugarama Jina la kijiji kilichopo Thangiro. bugarame lo bugaråme) n. tazama ngarame —
Bugasha Jina la kijiji kilichopo Thangiro —
Bugashani Jina la kijii kilchopo Kihanja. 2 Jina la kijji kılichopo Kyamutwara —
Bugengere Jina la kijji kilichopo Kihanja —
Bugeye Jina la kijjji kilichopo Thangiro —
Bugombe Jina la kijiji kilichopo Kiziba —
Bugombe 2 Jina la kijiji kilichopo hangiro —
Bugonzi Jina la mto uliopo Kihanja. bugooke lobugo:ke) n. Aibu; kuumbuka; kashfa —
Bugorora Jina la kijiji kilichopo Missenyi —
Buguju Jina la kijiji kilichopo Thangiro —
Bugungu Jina la kijiji kilichopo Thangiro —
Buhanga Jina la kjji kilichopo Thangiro —
Buhangaruti Jina la kijüi kilichopo Kiziba —
Buhangaza Jina la kijji kilichopo lhangiro —
Buheesi Jina la kijij kilichopo Kihanja —
Buhekera Jina la kijüji kilichopo Kiziba —
Buhembe Jina la kıjiji kilichopo Kyamutwara. Mugani: Ekitema Busimbe tikitema Buhembe? —
Buhimba Jina la kijiji kilichopo Thangiro —
Buhuma Jina la kijüji kilichopo —
Buhunga Jina la kijji kidogo kilichopo Karibu na Kabaalc, Kyamutwara —
Buhuuru Jina la kijüji kilichopo Kihanja —
Bujugo Jina la kijiji kilichopo Kihanja. ~ Bujugo bwa Ntanda —
Bujumba Jina la enco lililopo | bujuumaro lobujü:maro) n. Mahali pa kuangukia, hasa kifudifudi au juu chini —
Bujumbi Jina la kijiji kilichopo —
Bujunabi Jina la kijiji kilichopo Thangiro —
Bujunangoma Jina la eneo lililopo Kihanja —
Bukabuye Jina la kijji kilichopo majonzi. Kiziba. bukaibangane labukáibangane, abukéibargane] n. Hali ya kuonena wivu, hasa miongoni mwa wake wenza. eikaiba. -bukeibangane. bukaikuliro lo bukáikuliro, abukéikuliro] n. Fursa au mahali pa kuzeekea au kuwa kikongwe (wanawake). =bukeikuliro —
Bukanu Jina la kijji kilichopo Bugabo —
Bukaranga Jina la kijüji kilichopo Bugabo —
Bukombe Jina la kijiji kilichopo Ihangiro —
Bukomo Jina la kijiji kilichopo Inanguro —
Bukongo Jina la kijiji kilichopo Kihanja —
Bukono Jina la kijüji kilichopo Thangiro —
Bukoro Jina la kijji kilichopo Thangiro —
Bukwali Jina la kijiji kilichopo Kiziba —
Buleza Jina la kijüj kilichopo lhangiro —
Bulifaani Jina la kijiji kilichopo Missenyi —
Buligana Jina la kijiji kilichopo —
Buliigi Jina la kijiji kilichopo Thangiro —
Bulili Jina la kijüj kilichopo Kihanja —
Bulinda Jina la kijji kilichopo Bukara. bulingiti labulingit] n. Blanketi. =kilingiti, buranketi —
Bulira Jina la kijüji kilichopo Kihanja, karibu na Kemondo —
Bumai Jina la kijiji kilichopo Bugabo. =Buma —
Bundaza Jina la kijiji kilichopo Kihanja —
Bunumba Jina la kijiji kilichopo Kihanja —
Bunyaga Jina la kijjji kilichopo Bugabo. bunian. bupag, vane, biea ta, uyeas. bworo —
Bunyagongo Jina la kijiji kilichopo lhangiro —
Bunyoonya Jina la kijji kilichopo Bugabo. bunyugwizi [abunugwi:z]) n. Hali ya mtu kuhisi kama vile anatekenywa —
Bunywambere Jina la kijiji n. kilichopo Kihanja —
Buramura Jina la kijiji kilichopo Kihanja —
Burungiitaka Jina la kijji kilichopo Kihanja —
Burunguura Jina la kijiji kilichopo Thangiro. bururu lo burüru]n. 0(rangi ya) samawati. 2)Rangi ya bluu iwekwayo kwenye nguo nyeupe baada ya kuzifua —
Buseenya Jina la kijiji kilichopo Thangiro —
Bushaju Jina la kijüji kilichopo Kihanja —
Bushaka Jina la kijiji kilichopo Kihanja —
Busheeruka Jina la kijiji kilichopo Ihangiro —
Bushumba Jina la kijüji kilichopo Kihanja —
Busindi Jina la kijiji kilichopo hangiro —
Butaahanju Jina la kitongoji cha kijiji kilichopo Itaahwa, Kyamutwara —
Butainamwa Jina la kijüji kilichopo Kihanja —
Butairuka Jina la kijiji kilichopo Bukara —
Butalike Jina la kijji kilichopo lhangiro —
Butalima Jina la kijji kilichopo lhangiro —
Butalindwa Jina la kijji kilichopo Kihanja —
Bute Jina la kijji kilichopo Kihanja —
Buteerankuzi Jina la kijiji kilichopo lhangiro —
Butuube Jina la kijji kilichopo Bugabo —
Buyaga Jina la kijiji kilichopo Thangiro —
Buyanzi Jina la kijüji kilichopo Thangiro. n. Usumbufu; ukorofi. buyebe [abuyebe) emwaga, muya, muturajuju —
buzinduko Jina la mtaa uliopo Bukoba Mjini —
Bwami Jina la kijiji kilichopo Thangiro —
Bwanjai Jina la kijiji kilichopo Kiziba —
Bwanshoni Jina la kijiji kilichopo Kihanja. banyeigoro [dowaneigoro) inayoonyesha) wakati ulopita karibuni. Nyeigoro tuliireki? —
Bwazi Jina la kijjji kilichopo Kihanja —
Bwehigiro Jina la kijji kilichopo Kihanja —
Bwemera Jina la kitongoji cha kijüji kilichopo Kiziba. bwemerero lobwé:merero, o bwé:me:rero] n. Mahali pa kusimama au kutua; kituo —
Bwera Jina la kijüji kilichopo Kiziba —
Bweyenza Jina la kijji kilichopo Thangiro —
Bweyunge Jina la kijji kilichopo Kiziba —
Bweza Jina la kijji kilichopo Bugabo —
Bwigura Jina la kijj kilichopo Kihanja —
Bwira Jina la kijiji kilichopo Thangiro —
Bwizanduuru Jina la kijüji kilichopo Bukara. bwizi lobwizi]n. Hali ya kuja —
Bwogi Jina la mungu wa jadi —
Bwoki Jina la kijüji kilichopo Kiziba —
Bwongeze Jina la kijiji kilichopo Kihanja —
Byamutemba Jina la kijiji kilichopo Missenyi. yange loyange, eoyange] kb. v yang —
Byeju Jina la kijüji kilichopo Missenyi —
Byendimi Jina la kijüji kilichopo Kyamutwara. byensheko (ebyénjeko) Jambo la kuchekesha; kichekesho; jambo la aibu —
Byenzige Jina la nyika iliyopo K yamutwara. byera lebyéra] n. Furaha. emashemererwa, nsheko —
Byonga Jina la kijüi kilichopo byononoko Bugabo —
Chuleera 2 Jina la Mwaka 2010, Ienye maana ya 'kuwa na amani/utulivu. chuleera [čuléra] w isiza —

Other Phrases

Ruhaya Kiswahili English
Abawe mbagendelela bata? habari za familia? How is your family?
Amaela ganga? bei gani? How much?
Bojo onjune — Please help me
Ehali yigulu ilyele? — How is the weather over there?
ehari yawe? — How is everything?
Ehi nsi yajje Bahaya Hii nchi imejaa Wahaya / Hii nchi imejaa wahaya This country is full of Haya people
Ekilo kyawe kibile kita? — How was your day?
Engonzi nizilungi — Love is a beautiful thing
Enilo kyawe kibile kita? — How was your night?
Hija aaha njoo hapa Come here
Ibala lyawe oliowa? jina lako nani? What is your name?
Iwe doi? — Who are you?
Nalemwa mno — I am very tired
Nalila — She/he is crying
Nalima — She/he is digging
Namala — I am done
Nanyetyo — Me too
Nashemelelwa kukubona dindi — Great to see you again
Naulila? — Are you listening?
Neikeliza — I have agreed
Ngobilege — I reached home safely
Nikiwe ekili kugendelela? — What's going on?
Nimbasa kubaza? — Can I ask you something?
Nimbasa kugya omka? — Can I go home?
Nindya — I am eating
Ninsima mno — I really appreciate it
Ninyija mbwenu aaha — I am coming soon
Ninyija nyekya — I will come tomorrow
Ninyoga — I am bathing
Ninzana — I am playing
Nogambaote? — What are you saying?
Nogendelela ota? — How are you doing?
Nogya nkaa? unaenda wapi? Where are you going?
Noija maki? — When are you coming?
Noikala nkaa? unaishi wapi? Where do you live?
Nokola nkaa emilimo ? — What is your phone number?
Nolya/ nochumbaki? — What are you cooking/eating?
Nonyegezibwa — You are welcome
Notekeleza ota? — How are you feeling?
Nshwilwe — I am married
Nyinayo — I have it
Obelwe — Be blessed
Oehile ekiki? — What are you carrying?
Okagendankahi? — Where did you go?
Oleke kutumia esimu — Stop using your phone
Oleke ndenge — Let me try
Olige omgonzibwa? — Are you okay dear?
Olinkahi? — Where are you?
Omkama akubele — God bless you
Omkama akulinde — May God protect you
Omkama mlungi mungu ni mwema God is good
Omwenendo gubi — Bad manners
Ondeke — Leave me alone
Onganyile pole I am sorry
Onyame nemilembe — Rest in peace
Onyegela omka — Welcome home
Oyeulile omka — Feel at home
Timanya — I don't know
Tinkwenda — I don't want
Tinkwiamu — I don't understand
Tinyine maela — I don't have money
Tugende omka — Let us go home
Twashemelelwa kukubona — We are happy to see you
Waba olinkaa? — Where were you?
Wabaki? — What is this?
Wabaute? — How have you been?
Waga kwegashaniza? — Have you gone to church?
Wakelelelwa — You are late
Wakola asante Thank you
Wakola ekilo kyange — You made my day
Walile? — Have you eaten?
Waulila? — Have you heard?
Weine emyaka engaa? — How old are you?
Weiuka nekuzalwa — Happy birthday
Weuka nomwaka — Happy new year
Wokolaki? unafanya nini? What are you doing?
Yashemelelwa — She is happy

Kamusi ya Ruhaya — Nukta Kamusi. Community-contributed phrases for language preservation.