Fipa is a Bantu language spoken in Tanzania.

Also Known As:

Fipa, Ichifipa, Kifipa, Kwa, Kwaafi, Milanzi, Nkwaamba, Northern Fipa, Ntile, Peemba, Siiwa, Southern Fipa, Cile, Fipa-Sukuma, Icikandaasi, Icikwa, Icikwaafi, Icinkwaamba, Icintile, Icipeemba, Icisiiwa, Icisukuuma, Kandaasi, Kandasi, Sukuma, Sukuuma, Yantili, Cifipa, Fiba, Icifipa

Keywords:

Bantu, Fipa, Kifipa, maneno ya kifipa, Kwa, Kwaafi, Milanzi

Kamusi

Angalia matokeo ya utafutaji hapa chini, auTafsiri

Unasemaje "Utamaduni" kwa Fipa?

Utamaduni
Type: noun
Notes:
e.g. Yamasae utamaduni wao yakuzwala mikuli
swh: Utamaduni wa maasai ni kuvaa mashuka
en: culture

Unasemaje "asubuhi" kwa Fipa?

Katondo
Type: noun
Notes:
e.g. Katondo kwali nii mvula
swh: Asubuhi kulikuwa na mvua
en: morning

Unasemaje "mtoto" kwa Fipa?

Umwana
swh mtoto
en child
Type: noun
Notes:
e.g. Umwana akulila sana
swh: Mtoto analia sana
en: child

Unasemaje "moja" kwa Fipa?

Lionga
swh moja
en one
Type: noun
Notes:
e.g. Umwana aliniyembe lionga
swh: Mtoto ana embe moja
en: one

Unasemaje "Dini" kwa Fipa?

Idini
Type: noun
Notes:
e.g. idini yao ya kiisilamu
swh: Dini yao niyakiisilamu
en: religion

Unasemaje "nyama" kwa Fipa?

Inyama
en meat
swh nyama
Type: noun
Notes:
e.g. inyama yabanika
swh: Nyama ilibanikwa
en: meat

Unasemaje "Mawe ya mvua" kwa Fipa?

Ni mvula ya mawe
Type: phrase
Notes:
e.g. ing'ombe zyafwa ni mvula ya mawe
swh: Mawe ya mvua yameua ng'ombe
en: hailstones

Unasemaje "mwalimu" kwa Fipa?

Mwalimu
Type: noun
Notes:
e.g. Mwalimu uma mwanafunzi
swh: Mwalimu amemchapa mwanafunzi
en: teacher

Unasemaje "mtama" kwa Fipa?

Utama
Type: noun
Notes:
e.g. utama wingila misanga
swh: Mtama una mchanga
en: sorghum / millet
Loading more words…

Did we miss a word?

Help us improve the Fipa dictionary by adding it.

Click here to add a new word