Salamu za Chigogo

Full dictionary Nakupenda kwa Chigogo Salamu za Chigogo Nukta Kamusi home

Salamu, Nakupenda & Maneno

Chigogo Kiswahili English
Bibi akwendelela ule? bibi anaendeleaje? How is the grandmother doing?
Chinuka salama tumeamka salama We woke up well
Chione badae tutaonana hivi karibuni See you soon
Chione baha behi tutaonana baadaye See you later
Chokiona mtondo tutaonana kesho See you tomorrow
Familia yako haijambo? familia yako haijambo? Is your family fine?
Gwegwe ni mswano wewe ni mzuri You are beautiful
Hujambo? habari? Hello?
Kila muda ng'ukuwaza gwegwe kila wakati ninakufikiria mpenzi wangu I always think of you my love
Kushinda ule? ninaendelea vizuri I am doing great
Kwahari chokiona mtondo kwaheri, tutaonana kesho Bye see you tomorrow
Kwaheri mpenzi wangu kwaheri mpenzi wangu Goodbye my darling
Kwendelela ule zwalili? siku njema Have a good day
Kwendelela ule? umeshindaje? How was your day?
Kwinuka ule? umeamkaje leo? How are you today?
Mpenzi wangu mpenzi wangu My darling
Mpenzi wangu chilo mwaka usiku mwema mpenzi wangu Goodnight my love
Mtamwa yakwendelela viswano? mgonjwa anaendeleaje? How is the patient doing?
Nafurahi kitang'anila na gwengwe nimefurahi kukutana nawe Nice to meet you
nakukosa ninakuhitaji I need you
Nakukosa ninakuhitaji I need you
Ng'wendelela viswano tumeamka salama sote We all woke up safe
Ng'wendile nakupenda I love you
Ng'wendile kwa dhati ninakupenda kwa moyo wote I love you with all my heart
Ng'wendile mudala wangu nakupenda mke wangu I love you my wife
Ng'wendile na nene nakupenda pia I love you too
Ng'wendile sana nakupenda sana Love you so much
Ng'wendile sana baba nakupenda sana baba Love you so much father
nikusaka ninakuhitaji I need you
Nikwendile mlume wangu nakupenda mume wangu I love you my husband
Nilisalama? niko salama I am fine
Nimwendile sana mpenzi wangu nakupenda sana mpenzi wangu I love my darling so much
Nipeleje muda nipe nafasi I want some space
Sese weka hatujambo tuko salama We are fine
utanikosa utanikosa You will miss me
Walamse weka wasalimie kila mtu Greet everyone
Wanangu hawajambo? niko salama I am fine
Wazazi wako hawajambo? wazazi wako hawajambo? How are your parents?
Weka chinuka salama ninaendelea vizuri I am doing well
Wenze winana siku swano siku njema Have a good day
Wina shepu swano una umbo zuri You have a good shape
Zanyamtondo habari za asubuhi Good morning
Zechinyamihe habari za jioni Good evening
Zenemisi habari za mchana Good afternoon

Other Phrases

Chigogo Kiswahili English
Achi chi chichi? hii ni nini? What is this?
Chibite kukaya twende nyumbani Let's go home
Chichi chi kuendelela? kinachoendelea ni nini? What's going on?
Chichi shida? mambo vipi? What's up?
Chilo chako chechili ule? umelalaje? How was your night?
Familia yako ikwendelela ule? habari za familia? How is your family?
Hali ya kuchanya ili ule? hali ya hewa ikoje huko? How's the weather over there?
Heri ya kulelwa heri ya kuzaliwa Happy birthday
Heri ya mwaka mpya heri ya mwaka mpya Happy New Year
Jihuli che kukaya jisikie nyumbani Feel at home
Karibu kukaya karibu nyumbani Welcome home
Kikala hai? unakaa wapi? Where do you stay?
Kole upande wa kulia pita upande wa kulia Pass to the right
Kole upande wa kushoto pita upande wa kushoto Pass to the left
Kouka sangapi? unaondoka saa ngapi? At what time are you leaving?
Kubita hai? unaenda wapi? Where are you going?
Kubita kukanisa? umeenda kanisani? Have you gone to church?
Kuhisi ule? unahisije? How are you feeling?
Kuishi hai? unaishi wapi? Where do you live?
kukaribishwa karibu You are welcome
kulichiza? unasikiliza? Are you listening?
Kumanisha chichi? una maana gani? What do you mean?
Kumwande mwolilidaraja kuna daraja mbele There is a bridge ahead
kunozachi? unafanya nini? What are you doing?
kutelekachi? unapika nini? What are you cooking?
kuzanili? unakuja lini? When are you coming?
kwendelelaje? unaendeleaje? How are you doing?
Leche kwega sigara eneo ali hakuna kuvuta sigara hapa No smoking zone
Leche nijere ngoja nijaribu Let me try
Leche tumia simu acha kutumia simu yako Stop using your phone
Lechekola baho usipite huko Don't pass there
Mapenzi ni chinu chiswano mapenzi ni mazuri Love is good
Msina nzira hakuna njia ya kupita No through way
Msina tatizo hakuna tatizo No problem
Mulungu ni mwema mungu ni mwema God is good
Mulungu yakubarichi mungu akubariki God bless you
Mulungu yakulinde mungu akulinde May God protect you
Nafurahi kukuona nafurahi kukuona tena Great to see you again
Nafurahi kukuona nafurahi kukuona tena Great to see you again
Nalumba nakubali I agree
Namala nimekwisha I am done
Namba yako ya simu yahai? namba yako ya simu ni ipi? What's your phone number?
Nanene pia mimi pia Me too
Nauli shingapi? nauli ni shingapi? How much's the fare?
Ng'ubita kiduka naenda dukani I am going to the shop
Ng'ubita kukaya naenda nyumbani I am going home
Ng'ushukuru sana asante sana Thank you so much
Ng'uweza bita kukaya? naweza kwenda nyumbani? Can I go home?
Ng'uweza uza chinu? naweza kuuliza kitu? Can I ask something?
Ng'uza baha behi najakuja hivi karibuni I am coming soon
Nifika kukaya salama nimefika nyumbani salama I reached home safely
Nikatae nimechoka I am tired
nilekaje niache peke yangu Leave me alone
Nina nina I have
Nitoligwe nimeolewa I am married
Nokuza mtondo nitakuja kesho I will come tomorrow
Nyina yako yakuchemwa nani? mama yako anaitwa nani? What's your mother's name?
Nzira ya kola kwa migulu njia ya miguu Pedestrian path
Pumzishe salama pumzika kwa amani Rest in peace
samahani samahani I am sorry
Sante asante Thank you
sawa sawa Okay
Sawa sawa Okay
Shingapi? bei gani? How much?
Siku yako yeiiliule? umeshindaje? How was your day?
simanyile sijui I don't know
Sina pesa sina pesa I don't have money
Sinikuwene muda mrefu sana sijakuona kwa muda mrefu I haven't seen you in a while
Sogo yako yakuchemwa nani? baba yako anaitwa nani? What's your father's name?
Sung'uelewa sielewi I don't understand
Sung'usaka sitaki I don't want
Tabia mmbi tabia mbaya Bad behavior
Tafadhali ng'usaka msaada nahitaji msaada, tafadhali I need a favor, please
Tafadhali nitazaje tafadhali nisaidie Please help me
Tagwa lyako nani? jina lako nani? What's your name?
Ubarikiwe ubarikiwe Be blessed
Uli ule? umeendeleaje? How have you been?
Ulihai? uko wapi? Where are you?
Ulisalama mpendwa? uko salama mpenzi? Are you well darling?
Umanyile soma unajua kusoma? Do you know how to read?
Uze aha njoo hapa Come here
waelewa? umeolewa? Are you married?
waulika? umesikia? Have you heard?
Wewe uli hai ulikuwa wapi? Where were you?
Wikalile upandechi? unakaa upande gani? Which side are you sitting on?
Wina wana walinga? una watoto wangapi? How many kids do you have?
Yafurahi anafurahi She is happy

Kamusi ya Chigogo — Nukta Kamusi. Community-contributed phrases for language preservation.